EDDY KENZO ATANGAZA KUACHA MUZIKI

EDDY KENZO ATANGAZA KUACHA MUZIKI

Bosi wa lebo ya muziki Big Talent Eddy Kenzo amejiunga na orodha ya wasanii kutoka nchini Uganda wanaotaka kuacha tasnia ya muziki. Katika mahojiano yake wiki hii , Kenzo ameelezea nia yake ya kuacha kabisa biashara ya muziki na kwenda kujikita kwenye kilimo huko Masaka nchini Uganda. Eddy Kenzo, ambaye amepata mafanikio mengi kwenye muziki […]

Read More