EDDY YAAWE AWAJIBU WALIMWENGU KUHUSU WIMBO WA NETEZE ALIOMSHIRIKISHA MARTHA MUKISA

EDDY YAAWE AWAJIBU WALIMWENGU KUHUSU WIMBO WA NETEZE ALIOMSHIRIKISHA MARTHA MUKISA

Mwimbaji mkongwe kutoka Uganda Eddy Yaawe amekanusha madai kwamba alitaka wimbo wa β€œNeteze” aliomshirikisha martha mukisa uwe kwenye Youtube channel yake ili afaidi na mirabaha ya wimbo huo. Katika mahojiano yake ya hivi karibuni Eddy Yaawe amepuzilia madai hayo kwa kusema kwamba hajawahi pata pesa zozote kutoka kwenye channel yake ya youtube na uvumi huo […]

Read More