Eddy Yawe afunguka kuwanyanyasa kimapenzi wasanii wa kike

Eddy Yawe afunguka kuwanyanyasa kimapenzi wasanii wa kike

Mwimbaji wa zamani wa bendi ya Afrigo Eddy Yawe ameamua kuvunja kimya chake kuhusu tuhuma za kuwanyanyasa kimapenzi wasanii wa kike. Katika mahojiano yake hivi karibu Yawe amesema tuhuma zote alizozushiwa mtandaoni hazina ukweli wowote kwani ilikuwa njia ya baadhi ya watu kumshusha kimuziki Msanii huyo kutoka nchini Uganda amenyosha maelezo kuhusu ugomvi wake na […]

Read More
 CINDY SANYU AMKINGIA KIFUA EDDY YAWE KWA TUHUMA ZA KINGONO

CINDY SANYU AMKINGIA KIFUA EDDY YAWE KWA TUHUMA ZA KINGONO

Rais wa chama cha wasanii nchini Uganda Cindy Sanyu amedai kuwa hana uwezo wa kumsaidia msanii chipukizi Sumaiya Sheebah ambaye alidai kuwa alinyanyaswa kijinsia na Eddy Yawe. Cindy amesema mrembo huyo ana ushahidi wowote wa kuonyesha alidhulumiwa kingono na Eddy Yawe kwa kuwa hana mkataba wa kufanya kazi na msanii, hivyo itakuwa vigumu kumsaidia kisheria. […]

Read More
 EDDY YAWE ACHOSHWA KUPATANISHA BOBI WINE NA WASANII WENZAKE

EDDY YAWE ACHOSHWA KUPATANISHA BOBI WINE NA WASANII WENZAKE

Mwanamuziki kutoka Uganda Eddy Yawe amekiri kuchoshwa na kitendo cha kuwa mstari wa mbele kutatua tofauti za Bobi Wine na wasanii wenzake kila mara wanapoingia kwenye ugomvi. Katika mahojiano yake hivi karibuni Eddy Yawe amesema kama mwananchi wa kawaida  ana majukumu mengine ya kufanya ikiwemo kushughulikia familia yake na kuendelea kusukuma muziki wake licha ya […]

Read More
 EDDY YAWE NA CAROL NANTONGO WAMALIZA TOFAUTI ZAO

EDDY YAWE NA CAROL NANTONGO WAMALIZA TOFAUTI ZAO

Carol Nantongo and msanii mkongwe nchini Uganda Eddy Yawe walitubariki na smash hit yao iitwayo “Tukigale” mwaka wa 2018. Wimbo huo ulifanya vizuri sokoni lakini wawili hao walikuja wakaiingia kwenye ugomvi kutokana na umiliki wake wa Tukigale kiasi cha kutotumbuiza wimbo huo kwenye matamasha mbali mbali ya muziki. Hata hivyo wikiendi hii iliyopita wawili hao […]

Read More
 EDDY YAWE APINGA VIKALI KUMDHULUMU KIMAPENZI MARTHA MUKISA

EDDY YAWE APINGA VIKALI KUMDHULUMU KIMAPENZI MARTHA MUKISA

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Eddy Yawe amekanusha madai ya kumnyanyasa kimapenzi msanii wa kike nchini humo Martha Mukisa. Katika mahojiano yake hivi karibuni Yawe amesema madai hayo hayana ukweli wowote huku akisisitiza kwamba uhusiano wake na Martha Mukisa ulikuwa wa kikazi tu. Hitmaker huyo wa ngoma ya “Love Yo” amesema walitafautiana kimawazo na Martha Mukisa […]

Read More
 EDDY YAWE AWAPA SOMO WASANII WA UGANDA

EDDY YAWE AWAPA SOMO WASANII WA UGANDA

Mkongwe wa muziki kutoka nchini uganda Eddy yawe ametoa changamoto kwa wasanii kutia bidii kwenye kazi zao za muziki ili waweze kutimiza malengo yao maishani. Yawe ambaye ni kaka wa bobi wine amesema kiwanda cha muziki nchini uganda kina fedha nyingi hivyo wasanii wanapaswa kujenga tabia ya kuweka akiba badala ya kutumia pesa zao zote […]

Read More