Fiorentina Yakubali Kumsajili Edin Dzeko Kutoka Fenerbahçe
Klabu ya Fiorentina ya Serie A nchini Italia imekubali kumsajili mshambuliaji mkongwe Edin Dzeko kutoka Fenerbahçe ya Uturuki. Dzeko mwenye umri wa miaka 39, anatarajiwa kusaini mkataba wa mwaka mmoja utakaomuwezesha kubaki kwenye klabu hiyo hadi Juni 2027. Katika historia yake barani Ulaya, amewahi kucheza kwa vilabu kama Wolfsburg (2007-2010), Manchester City (2011-2015), AS Roma […]
Read More