Mwanamitindo akutwa amefariki Kenya

Mwanamitindo akutwa amefariki Kenya

Polisi katika kaunti ya Uasin Gishu wanachunguza chanzo cha mauaji baada ya mwili wa mwanamitindo maarufu Edwin Chiloba kukutwa umetupwa ukiwa ndani ya sanduku la chuma. Kulingana na chanzo kimoja cha habari ,mwendesha Bodaboda aliona gari ambalo halikuwa na namba likitupa sanduku la chuma kando ya barabara ya Kipenyo – Kaptinga. Kisa hicho kiliripotiwa kwa […]

Read More