Misri Yaipa Kenya Kipigo cha 2–1 Katika Michuano ya Hoki Afrika
Timu ya taifa ya wanaume ya hoki ya Kenya ilianza kampeni yake ya kuwania Kombe la Afrika kwa kupoteza mabao 2–1 dhidi ya wenyeji Misri katika mechi ya ufunguzi iliyochezwa jana usiku jijini Ismailia. Saa chache tuu baada ya wenzao wa kike kuanza mashindano yao kwa ushindi wa bao moja kwa bila dhidi ya Nigeria, […]
Read More