Eko Dydda Atetea Gospel ya Kisasa kwa Kuwapuuza Wakosoaji

Eko Dydda Atetea Gospel ya Kisasa kwa Kuwapuuza Wakosoaji

Msanii wa muziki wa injili kutoka Kenya, Eko Dydda, amewatolea uvivu wanaoendelea kukosoa mtindo wake mpya wa muziki wa Injili, akisisitiza kuwa hatabadilisha msimamo wake wala imani yake kwa sababu ya maneno ya watu. Kupitia ujumbe wake uliosambaa mitandaoni, Eko Dydda amewataka wanaobeza muziki wake kupeleka lawama zao kwingine, akisema wazi kuwa hafanyi muziki kuwaridhisha […]

Read More
 EKO DYDDA AWAPA SOMO VIJANA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU WA AGOSTI 9

EKO DYDDA AWAPA SOMO VIJANA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU WA AGOSTI 9

Wakati joto la uchaguzi mkuu likizidi kupanda katika maeneo mengi nchini,mwanamuziki aliyegeukia siasa Eko Dydda amewataka vijana kuwa makini na viongozi wanaotoa rushwa, kwa ajili ya kuwashawishi kuchagua upya kwenye uchaguzi wa Agosti 9. Katika mahojiano na mpasho Eko Dydda ametoa changamoto kwa vijana kuwa na dhamira ya dhati kuwakataa wagombea watakaojaribu kuiendekeza rushwa wakati […]

Read More
 EKO DYDDA ATANGAZA KUWANIA WADHFA WA UWAKILISHI WADI MATHARE KASKAZINI KWENYE UCHAGUZI MKUU 2022

EKO DYDDA ATANGAZA KUWANIA WADHFA WA UWAKILISHI WADI MATHARE KASKAZINI KWENYE UCHAGUZI MKUU 2022

Mwanamuziki wa nyimbo za injili nchini Eko Dydda ametia nia ya kugombea uwakilishi wadi ya Mathare Kaskazini kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2022. Kupitia ukurasa wake wa instagram  hitmaker huyo wa “Niko na Reason” amesema kuwa amesukumwa kugombea kiti cha uwakilishi wadi wa eneo hilo kutokana na kero ambazo vijana wamekutana nazo kwenye suala la kusaka ajira. Aidha […]

Read More