EX WA RAY G ADAI HAJUTII KITENDO CHA KUFURAHIA MSIBA ULIOMKUTA MSANII HUYO WA UGANDA

EX WA RAY G ADAI HAJUTII KITENDO CHA KUFURAHIA MSIBA ULIOMKUTA MSANII HUYO WA UGANDA

Aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki Ray G, Elizabeth Namara amevunja kimya chake baada ya kuonekana akisherehekea kifo cha Binti wa msanii huyo. Kupitia video ya moja kwa moja iliyoweka kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii, Elizabeth Namara amethibitisha kuwa hajutii kitendo chake cha kufurahia msiba uliomkuta Ray G ambapo amewaonya wanaomkosa  waache kufuatilia na masaibu […]

Read More