Ellah Aachana Rasmi na Mzazi Mwenzake Steve Odek
Ellah Ray, dada yake sosholaiti maarufu Amber Ray, ameibua gumzo mitandaoni baada ya kutangaza kuvunja uhusiano wake na baba wa mtoto wake, Steve Odek, huku akimshtumu kwa usaliti na mahusiano ya siri na wanawake kadhaa jijini Nairobi, akiwemo mwigizaji Jackie Matubia. Kupitia mfululizo wa jumbe za hisia kwenye Insta Story, Ellah alisema hatimaye amefikia kikomo […]
Read More