Roboti wa Tesla “Optimus” Aonyesha Uwezo wa Kushangaza Katika Kucheza Muziki Kama Mwanadamu

Roboti wa Tesla “Optimus” Aonyesha Uwezo wa Kushangaza Katika Kucheza Muziki Kama Mwanadamu

Katika hatua nyingine ya kuvutia katika maendeleo ya teknolojia ya roboti, Bilionea Elon Musk ametoa onyesho jipya la roboti wa kampuni ya Tesla, anayejulikana kama Optimus. Kupitia video iliyosambazwa mitandaoni, roboti huyo ameonekana akicheza aina mbalimbali za muziki kwa ustadi wa kushangaza, akionyesha uwezo wa kufanya dance moves zinazofanana na za mwanadamu wa kawaida. Roboti […]

Read More
 Twitter kufanya mabadiliko tena

Twitter kufanya mabadiliko tena

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa mtandao wa Twitter, Elon Musk ametangaza kwamba, Twitter inatarajia kuongeza kipengele kipya ndani ya jukwaa hilo kitakacho onesha idadi ya watu waliopita na kuona chapisho (tweet) la mtumiaji. Musk ambaye tangu aununue mtandao huo Oktoba mwaka huu kwa dola bilioni 44, kasi yake ya kuweka vipengele vipya katika jukwaa hilo inakosolewa […]

Read More
 Elon Musk kufanya majaribio ya kifaa cha kuwezesha ubongo wa binadamu kuwasiliana na kompyuta.

Elon Musk kufanya majaribio ya kifaa cha kuwezesha ubongo wa binadamu kuwasiliana na kompyuta.

Bilionea wa teknolojia Elon Musk amesemaleo kwamba moja ya kampuni zake itaweza katika miezi sita kuwa na uwezo wa kupandikiza kifaa kwenye ubongo wa mwanadamu kitakachoruhusu mawasiliano na kompyuta. Kifaa hicho kilichotolewa na kampuni ya Neuralink ya Musk, kitaruhusu mtumiaji kuwasiliana moja kwa moja na kompyuta kupitia mawazo yao, alisema. “Tumewasilisha nadhani karatasi zetu nyingi […]

Read More
 Elon Musk anadai Apple imetishia kuiondoa Twitter

Elon Musk anadai Apple imetishia kuiondoa Twitter

Tajiri namba moja duniani na mmiliki wa mtandao wa Twitter, Elon Musk ameeleza kwamba Kampuni ya Apple inatishia kuizuia Twitter kupatikana kwenye App Store. Musk ambaye aliinunua Twitter kwa zaidi ya KSh. Trilioni 5, amesema Apple hawajatoa sababu za kwanini wanataka kufikia uamuzi huo. Wiki iliyopita Elon Musk alidokeza kwamba kama Apple watachukua maamuzi hayo […]

Read More