Elsa Majimbo Azua Mjadala Mtandaoni kwa Kauli Kuhusu Urembo Wake
Mchekeshaji na mshawishi maarufu wa mtandaoni, Elsa Majimbo, amefichua hisia zake kuhusu maoni anayopewa mara kwa mara kuhusu urembo wake, akisema wakati mwingine anahisi kama watu wanamtania. Kupitia video aliyochapisha kwenye Instagram, Majimbo alisema kuwa sifa nyingi anazopokea kuhusu urembo wake huwa zinamchanganya, kwani ni nyingi kiasi kwamba zinaanza kuonekana kama mzaha. “Kitu cha kwanza […]
Read More