50 cent adai Eminem hapewi heshima anayostahili

50 cent adai Eminem hapewi heshima anayostahili

Rapa mkongwe kutoka nchini Marekani 50 Cent amesema rapa Eminem hapewi heshima ya kutosha. Kwenye mahojiano yake na ‘Ebro In The Morning’ wakati akiitangaza series yake mpya (Hip Hop Homicides), 50 Cent amesema kwa mchango ambao Eminem ameuweka kwenye huu muziki wa Hiphop, anafikiri anastahili heshima zaidi ya ambayo anapewa kwa sasa. Ikumbukwe ‘Eminem’ ndiye […]

Read More