Nicah The Queen afungua kesi dhidi ya Emma Jalamo

Nicah The Queen afungua kesi dhidi ya Emma Jalamo

Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Nicah the Queen ameamua kumchukulia hatua kali za kisheria msanii wa ohangala Emma Jalamo kwa tuhuma za kuichafu brand yake ya muziki. Kupitia barua ya mawakili wake, Nicah ametoa makataa ya siku saba kwa Jalamo kutumia mtandao wake wa kijamii wa Facebook kuomba msamaha kwa kujaribu kuvunja ndoa yake, […]

Read More