Mbosso Aachia EP Mpya Room Number 3

Mbosso Aachia EP Mpya Room Number 3

Staa wa Bongo Fleva Mbosso ameanza ukurasa mpya katika muziki wake kwa kuachia EP yake ya tatu iitwayo Room Number 3, miezi michache baada ya kuondoka kwenye lebo ya WCB Wasafi. EP hiyo, ambayo ina nyimbo 7 bila collabo yoyote, tayari imechukua nafasi ya kwanza kwenye majukwaa makubwa ya muziki kama Apple Music na Spotify, […]

Read More
 HANSTONE AACHIA RASMI THE AMAZING EP

HANSTONE AACHIA RASMI THE AMAZING EP

Msanii wa muziki wa kizazi kipya  nchini Tanzania Hassan Ramadhani Masanja maarufu kama ‘Hanstone’ ameachia EP yake mpya aliyoipa jina “The Amaizing” yenye jumla ya nyimbo 7. Mkali huyo ambaye alikuwa akihusishwa kuwa ni msanii mpya ajae kutoka lebo ya WCB, ameachia EP hiyo nje ya WCB. “The Amaizing EP” tayari inapatikana kwenye mitandao mbalimbali […]

Read More