Mechi 380 Zapangwa Katika Ratiba Mpya ya EPL 2025/26, Msimu Kuanza Agosti 15
Bodi ya Ligi Kuu England (EPL) imetangaza rasmi ratiba ya msimu mpya wa 2025/26, ikifichua mechi 380 zitakazochezwa kuanzia Agosti 15, 2025 hadi Mei 24, 2026. Ratiba hiyo inahusisha raundi 33 za wikendi pamoja na raundi tano katikati ya wiki, ikiwapa mashabiki msimu mwingine wenye ushindani mkali na burudani ya kiwango cha juu. Mechi ya […]
Read More