ERIC OMONDI AHAPA KUREJEA BUNGENI KUIKINGIA KIFUA TASNIA YA MUZIKI NCHINI KENYA
Baada ya mchekeshaji Eric Omondi kukamatwa na kuachiwa uhuru akiwa kwenye harakati za kuwasilisha mswada bungeni wa kutaka asilimia 75 ya muziki wa Kenya upigwe kwenye vituo vya redio na runinga nchini, mchekeshaji huyo ameahapa kurejea tena bungeni. Katika mkao na wanahabari Omondi amesema licha ya kwamba alipata changamoto kwenye jaribio lake la kwanza kufika […]
Read More