ERIC OMONDI KUWASILISHA BUNGENI MSWADA WA KUBORESHA MUZIKI WA KENYA
Baada ya kuwatolea uvivu wasanii wa Kenya kwa kufelisha kiwanda cha muziki, Mchekeshaji maarufu Eric Omondi ameibuka na jambo lingine, amehapa kuwasilisha hoja bungeni wiki ijayo , hoja ambayo inalenga kuhimarisha muziki wa Kenya . Kupitia ukurasa wake wa Instagram Omondi mswaada huo unalenga kushinikiza asilimia 70 ya nyimbo za wasanii wa wakenya zinachezwa kwenye […]
Read More