Eric Omondi amwagia sifa Vera Sidika kwa kiki ya kupunguza makalio
Mchekeshaji Eric Omondi ameamua kumpa maua yake akiwa hai mrembo Vera Sidika kwa kutengeneza tukio lilotikisa mitandao ya kijamii kabla ya kuachia wimbo wake mpya uitwao PopStar. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Omondi amelilinganisha tukio la Vera na matukio ya kusisimua ambayo wasanii wa Nigeria na Tanzania utengeneza kwa ajili ya kuteka hisia za mashabiki […]
Read More