Eric Omondi atangaza hali ya hatari kwa wasanii wanaopinga mswada wa kufufua muziki wa Kenya
Mchekeshaji Eric Omondi ana imani mswada wake wa kutaka muziki wa kenya kuchezwa kwa asilimia 75 kwenye vyombo vya habari utaidhinishwa kuwa sheria na Rais Willliam Ruto. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni Omondi amesema alimaliza sehemu iliyokuwa inampa ngumu wa kuendelea na mswada huo huku akidai kilichobaki kwa sasa ni kuwashinikiza viongozi vijana walio kwenye […]
Read More