Guardian Angel athibitisha mapenzi hayachagui umri, ampongeza mkewe kwa maneno ya kutia moyo
Msanii maarufu wa nyimbo za Injili nchini Kenya, Guardian Angel, amemiminia mkewe, Esther Musalia, ujumbe mtamu wa mapenzi huku akimsherehekea kwenye siku yake ya kuzaliwa ya kutimiza miaka 55. Kupitia mitandao ya kijamii, Guardian Angel aliandika ujumbe wenye hisia kali akimtaja Esther kama baraka kubwa katika maisha yake. “Kukupenda kulikuwa uamuzi bora zaidi wa maisha […]
Read More