Otile Brown Aumizwa na Habari za Ndoa ya Nabayet, Aandika Ujumbe wa Hisia Kali

Otile Brown Aumizwa na Habari za Ndoa ya Nabayet, Aandika Ujumbe wa Hisia Kali

Mwanamuziki wa Bongo R&B kutoka Kenya, Otile Brown, ameibua hisia mtandaoni baada ya kuonyesha maumivu na mshangao kufuatia habari za aliyekuwa mpenzi wake, Nabayet kutoka Ethiopia, kufunga ndoa. Kupitia Insta Story yake, Otile alionekana kushindwa kuficha hisia zake, hasa kwa kuwa alimtaja Nabayet katika wimbo wake mpya unaotarajiwa kuachiwa. Ameandika:  “How does she go & […]

Read More
 Nabayet, Mpenzi wa Zamani wa Otile Brown, Afunga Ndoa Kwenye Harusi ya Kifahari Ethiopia

Nabayet, Mpenzi wa Zamani wa Otile Brown, Afunga Ndoa Kwenye Harusi ya Kifahari Ethiopia

Mwanamitindo maarufu kutoka Ethiopia,Nabayet, ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa msanii nyota wa Kenya Otile Brown, ameaga rasmi maisha ya u-single baada ya kufunga ndoa kwenye harusi ya kifahari iliyofanyika nchini mwake mwishoni mwa wiki. Harusi hiyo, iliyohudhuriwa na familia, marafiki wa karibu na watu mashuhuri kutoka sekta ya mitindo na burudani, ilifanyika katika hoteli ya […]

Read More