PENZI LA GRAND P NA EUDOXIE YAO LAFUFUKA TENA

PENZI LA GRAND P NA EUDOXIE YAO LAFUFUKA TENA

Kama ulikuwa unadhani penzi la Grand P na Eudoxie Yao limevunjika nikuambie tu pole. Mwanamuziki huyo mashuhuri kutoka Guinea amethibitisha kuwa bado anampenda mrembo huyo. Kupitia ukurasa wake wa Facebook Grand P ameposti mfululizo wa picha za kimahaba zaidi akiwa na Eudoxie ambapo amesisitiza kuwa ataishi kumpenda mwanadada huyo aliyebarikiwa na makalio makubwa kutoka Ivory Coast. Hivi majuzi hata hivyo, Yao alidaiwa kuachana na bilionea huyo baada ya kumuona akijiburudisha na mwanadada mwingine kwenye moja ya night club. Vyanzo vya karibu na wawili hao, vilisema mrembo huyo alihamua kubwaga manyanga baada ya kukithiri kwa tabia ya usaliti ambayo Grand P alikuwa nayo.

Read More
 GRAND P ADATA NA PENZI LA EUDOXIE YAO, ACHORA TATTOO YA JINA LAKE KWENYE KIFUNDO CHA MKONO

GRAND P ADATA NA PENZI LA EUDOXIE YAO, ACHORA TATTOO YA JINA LAKE KWENYE KIFUNDO CHA MKONO

Mwanamuziki nyota kutoka nchini Guinea Moussa Sandiana Kaba maarufu kama Grand P , ameamua kuchora tattoo yake ya kwanza katika mwili wake kwa kuandika jina la mpenzi wake mwenye umbo kubwa kumzidi, Eudoxie Yao. Grand P amechora tattoo inayosomeka ‘ 𝒍𝒐𝒗𝒆 π’†π’–π’…π’π’™π’Šπ’† ‘ akionesha ni kwa namna gani anampenda mpenzi wake huyo raia wa Ivory Coast. Wawili hao walioata umaarufu zaidi mitandaonI kutokana na muonekano wa maumbo yao, ambapo Grand P yeye akiwa na ugonjwa wa kudumaa na kuonekana kuwa nA umbo dogo, huku mpenzi wake Eudoxie Yao akiwa na umbo kubwa kumzidi. Haya yanajiri ikiwa ni takribani miezi miwili kupita baada yaΒ GrandΒ PΒ kumvisha Eudoxie pete ya uchumba.

Read More