PENZI LA GRAND P NA EUDOXIE YAO LAFUFUKA TENA

PENZI LA GRAND P NA EUDOXIE YAO LAFUFUKA TENA

Kama ulikuwa unadhani penzi la Grand P na Eudoxie Yao limevunjika nikuambie tu pole. Mwanamuziki huyo mashuhuri kutoka Guinea amethibitisha kuwa bado anampenda mrembo huyo. Kupitia ukurasa wake wa Facebook Grand P ameposti mfululizo wa picha za kimahaba zaidi akiwa na Eudoxie ambapo amesisitiza kuwa ataishi kumpenda mwanadada huyo aliyebarikiwa na makalio makubwa kutoka Ivory […]

Read More
 GRAND P ADATA NA PENZI LA EUDOXIE YAO, ACHORA TATTOO YA JINA LAKE KWENYE KIFUNDO CHA MKONO

GRAND P ADATA NA PENZI LA EUDOXIE YAO, ACHORA TATTOO YA JINA LAKE KWENYE KIFUNDO CHA MKONO

Mwanamuziki nyota kutoka nchini Guinea Moussa Sandiana Kaba maarufu kama Grand P , ameamua kuchora tattoo yake ya kwanza katika mwili wake kwa kuandika jina la mpenzi wake mwenye umbo kubwa kumzidi, Eudoxie Yao. Grand P amechora tattoo inayosomeka ‘ 𝒍𝒐𝒗𝒆 π’†π’–π’…π’π’™π’Šπ’† ‘ akionesha ni kwa namna gani anampenda mpenzi wake huyo raia wa Ivory […]

Read More