EUDOXIE YAO BADO ANA MAPENZI KWA EX WAKE GRAND P, AMTAKIA KHERI KWENYE MAISHA YAKE MAPYA

EUDOXIE YAO BADO ANA MAPENZI KWA EX WAKE GRAND P, AMTAKIA KHERI KWENYE MAISHA YAKE MAPYA

Mwanamitindo mwenye shepu matata kutoka nchini Ivory Coast Eudoxie Yao amemtakia kila la kheri katika maisha aliyekuwa mpenzi wake Grand P, baada ya kumuona kwenye video akijivinjari katika bwawa la kuogelea na mwanamke mwingine. Katika video hiyo, mwanamuziki huyo kutoka Guinea mwenye umbile dogo zaidi ameposti video Facebook akiwa amejiachia na mrembo wake mpya. β€œMaisha […]

Read More