Eve Mungai Aumizwa na Taarifa za Mrembo wa Ex Wake Trevor Kupata Uja Uzito

Eve Mungai Aumizwa na Taarifa za Mrembo wa Ex Wake Trevor Kupata Uja Uzito

Youtuber maarufu mtandaoni, Eve Mungai, ameonekana kuumizwa na taarifa za mpenzi wake wa zamani, Director Trevor, kuthibitisha kuwa anatarajia mtoto na mrembo wake wa sasa anayejulikana kama Kiki Love. Eve, kupitia mitandao yake, aliandika ujumbe ulioonekana kuashiria kwamba hana furaha kubwa na taarifa hiyo, akisema kuwa β€œsio wa kwanza kupata uja uzito.” Kauli hiyo imeibua […]

Read More
 Eve Mungai Afunguka Kuhusu Mapambano ya Afya ya Akili

Eve Mungai Afunguka Kuhusu Mapambano ya Afya ya Akili

Mwanahabari wa kidijitali na mtayarishaji wa maudhui, Eve Mungai, amefunguka kuhusu maisha yake ya ndani kwa mara ya kwanza baada ya kipindi kigumu alichopitia mwaka huu. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Eve ameeleza kwamba kati ya mwezi Aprili na Juni, alipitia kipindi cha msongo wa mawazo (depression) kikali kilichomfanya kutumia muda mwingi kitandani, kushindwa kula […]

Read More