LEO KATIKA HISTORIA NOVEMBA 10, ALIZALIWA RAPA WA KIKE KUTOKA NCHINI MAREKANI, EVE.
Siku kama ya leo Novemba 10 mwaka wa 1978 alizaliwa mwiigizaji na rapa wa kike kutoka Marekani, Eve. Jina lake halisi Eve Jihan Jeffers na alizaliwa huko Philadelphia, Pennsylvania nchini Marekani ambako alianza muziki mwaka wa 1996 akiwa na kundi la Dope Girl Posse lakini baada ya kundi hilo kuvunjika alihamua kufanya muziki wake kama […]
Read More