EXODUS AKIRI KUWA MLEVI AOMBA RADHI MASHABIKI NA WAKRISTO
Mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Uganda Exodus amewaomba radhi wafuasi wake na wakristo kwa tuhuma zilizomuandama kwa miaka mingi ikiwemo kunywa pombe. Katika tamasha la “Katonda Wa Banaku akola” la Mchungaji Wilson Bugembe juzi kati, Exodus alijipata akiangua kilio huku akipiga magoti katikati ya performance yake na kusema kwamba anajutia makosa yote aliyoyafanya […]
Read More