EXRAY AZIMA TETESI ZA WIMBO WAKE “SIPANGWINGWI” KUPIGWA MARUFUKU

EXRAY AZIMA TETESI ZA WIMBO WAKE “SIPANGWINGWI” KUPIGWA MARUFUKU

Staa wa muziki nchini Exray amekanusha tetesi zinazosambaa mtandaoni kwamba wimbo wake uitwao Sipapangwi umepigwa marufuku kuchezwa kwenye maeneo ya umma. Katika mahojiano yake hivi karibuni Exray amesema madai hayo hayana msingi wowote kwa kuwa ni propaganda zinazosambazwa  na watu wanaotakia mabaya mtandaoni. Msanii huyo wa kundi la Boondocks gang amewataka mashabiki zake wanaendelea kustream […]

Read More
 BREEDER LW MBIONI KUACHIA COLLABO YAKE NA EXRAY TANIUA

BREEDER LW MBIONI KUACHIA COLLABO YAKE NA EXRAY TANIUA

Habari nzuri kwa mashabiki wa muziki nchini ni kwamba tutarajie muda wowote ujio wa Collabo kati ya Exray na Rapper Breeder LW. Breeder LW amethibitisha taarifa hiyo kwa mashabiki kupitia mahojiano yake ya hivi karibuni ambapo amewataka mashabiki kukaa mkao wa kula kupokea wimbo huo. Iwapo Breeder Lw na Exray wataachia collabo yao hiyo itakuwa […]

Read More
 EXRAY TANIUA APOKEZWA TUZO NA MTANDAO WA YOUTUBE

EXRAY TANIUA APOKEZWA TUZO NA MTANDAO WA YOUTUBE

Msanii wa kundi la Boondocks Gang, Exray Taniua ametunukiwa tuzo ya Silver Play Button na mtandao wa Youtube baada ya kufikisha jumla ya subscribers laki moja kwenye channel yake. Exray ametumia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram kuwashukuru mashabiki zake kwa upendo ambao wanazidi kumuonyesha kupitia kazi zake za muziki huku akiahidi kuendelea […]

Read More
 MSANII WA BONDOCKS GANG EXRAY TANIUA ATHIBITISHA UJIO WA KOLABO ZAKE MBILI NA WASANII WA NIGERIA

MSANII WA BONDOCKS GANG EXRAY TANIUA ATHIBITISHA UJIO WA KOLABO ZAKE MBILI NA WASANII WA NIGERIA

Msanii nyota nchini Exray Taniua anazidi kuchana mbuga kimataifa hii ni baada ya kutangaza ujio wa kolabo zake na wasanii nyota nchini Nigeria. Kupitia instastory yake kwenye mtandao wa Instagram Exray amethibitisha kuwa ana kolabo mbili na simi pamoja Mr. Eazi ambapo amewataka  mashabiki zake wampe ushauri ni kolabo gani kati ya wasanii hao aachie kwanza. Hata hivyo baadhi […]

Read More