EXRAY KUTUMBUIZA KWENYE HHAFLA YA KUAPISHWA KWA RAIS MTEULE WILLIAM RUTO
Msanii Exray Taniua ametajwa kutumbuiza kwenye hafla ya kuapishwa kwa rais mteule William Ruto Jumanne juma lijalo. Mapema wiki hii hitmaker huyo wa “Sipangwingwi” aliposti video akiwa anakutana na rais huyo mteule na kisha kumpongeza kwa kuhifadhi ushindi wake baada ya mahakama ya juu kutupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya urais iliyowasilishwa na Azimio […]
Read More