Ezekiel Mutua Awataka Wasanii Kenya Kuzingatia Maudhui Safi

Ezekiel Mutua Awataka Wasanii Kenya Kuzingatia Maudhui Safi

CEO wa Chama cha Hakimiliki ya Muziki nchini Kenya (MCSK), Dkt. Ezekiel Mutua, ametoa wito kwa wasanii wa Kenya kujikita katika kutengeneza maudhui safi yanayoweza kufurahiwa na familia nzima. Katika taarifa, Mutua amesema kuwa kazi za sanaa zina nafasi kubwa ya kushirikiana na jamii katika kulea maadili na mshikamano wa kijamii. Ameeleza kwamba wasanii wanapaswa […]

Read More
 EZEKIEL MUTU AMKINGIA KIFUA ODINGA KWA KUTUMIA WIMBO WA SAUTI SOL KWENYE SHUGHULI ZAKE ZA KISIASA

EZEKIEL MUTU AMKINGIA KIFUA ODINGA KWA KUTUMIA WIMBO WA SAUTI SOL KWENYE SHUGHULI ZAKE ZA KISIASA

Mwenyekiti wa chama cha hakimiliki ya muziki nchini Ezekiel Mutua amefunguka kuhusu utata unaozingira wimbo wa Extravaganza wa kundi la Sauti Sol, uliotumiwa na mrengo wa azimio la umoja kwenye hafla ya kumtambulisha mgombea mwenza wa Raila Odinga. Kupitia mitandao yake ya kijamii Mutua amesema azimio la umoja walifuata taritibu zote za kupata leseni ya […]

Read More