Crystal Palace Yaandika Historia kwa Kuitandika Manchester City na Kutwaa Kombe la FA
Katika moja ya matukio ya kushangaza zaidi kwenye historia ya soka ya Uingereza, Crystal Palace waliibuka mabingwa wa Kombe la FA kwa mara ya kwanza tangu klabu hiyo ianzishwe zaidi ya miaka 120 iliyopita, baada ya kuichapa Manchester City bao 1-0 katika Uwanja wa Wembley mbele ya maelfu ya mashabiki. Mchezo huo uligubikwa na kasi, […]
Read More