Tokyo 2025: Kipyegon Atetea Ubingwa, Dorcus Ewoi Aipatia Kenya Fedha
Mwanariadha anayeshikilia rekodi ya dunia Faith Kipyegon aliendeleza utawala wake katika mbio za mita 1500, aliposhinda taji yake ya nne mfululizo ya dunia katika siku ya nne ya Mashindano ya Riadha ya Dunia jijini Tokyo Japan. Kipyegon ambaye pia ni bingwa mara tatu wa Olimpiki alitumia muda wa dakika 3 na sekunde 52.15 na kujiongeza […]
Read More