AFRIKA MASHARIKI YATOA MSANII MMOJA KWENYE TUZO ZA BET 2022
Staa wa muziki kutoka DR Congo Fally Ipupa ndiye msanii pekee wa Afrika Mashariki aliyechaguliwa kuwania tuzo za BET 2022 ambazo zinatarajiwa kutolewa Juni 26 mwaka huu nchini Marekani. Mkali huyo anawania kipengele cha Best International Act akishindana na wasanii kama Fireboy DML na Tems wote kutokea nchini Nigeria. Utakumbuka mwaka jana mwimbaji wa Bongofleva […]
Read More