Akothee Atangaza Kumsamehe Dada Yake Licha ya Maumivu ya Zamani
Mwanamuziki na mfanyabiashara maarufu wa Kenya, Akothee, amegusa mioyo ya wengi baada ya kushiriki ujumbe wa kihisia kwa dada yake, Elseba Awuor, akifichua kuwa amemsamehe na kuamua kuendelea na maisha bila chuki. Kupitia mitandao ya kijamii, Akothee aliandika ujumbe uliojaa hisia, akieleza kuwa msamaha wake haukutokana na ombi la dada yake, bali ni kwa ajili […]
Read More