KRG THE DON ATANGAZA KUWASAJILI WASANII WAPYA KWENYE LEBO YAKE YA FAST CASH GROUP MUSIC
Msanii wa muziki wa dancehall nchini KRG The Don ametangaza mpango wa kuwasajili wasanii wapya kwenye lebo ya muziki ya Fast Cash Group music. Kupitia ukurasa wake wa instagram KRG The Don amewataka mashabiki zake wamuunganishe na wasanii wenye vipaji kwenye muziki kwani lebo ya fast cash Group ipo tayari kuwasaidia kimuziki. Hata hivyo amewataka […]
Read More