Feffe Bussi: Wasanii Acheni Kutegemea Magenge kwa Ulinzi

Feffe Bussi: Wasanii Acheni Kutegemea Magenge kwa Ulinzi

Msanii wa muziki wa rap kutoka Uganda, Feffe Bussi, ameonyesha kutoridhishwa na mtindo unaokua wa wasanii kuandamana na magenge ya vijana wakorofi, akiwataka wasanii wenzake waajiri walinzi binafsi badala yake. Kwenye mahojiano hivi karibuni, Feffe Bussi ameeleza kuwa magenge hayaleti faida yoyote, bali husababisha vurugu na kuwatishia mashabiki. Amesisitiza kuwa walinzi binafsi wawili wanaweza kutoa […]

Read More