Azam yathibitisha kumsajili Fei Toto

Azam yathibitisha kumsajili Fei Toto

Kaimu Afisa Habari wa Azam FC, Hashim Ibwe amethibitisha kuwa matajiri hao wa Dar es Salaam wamefanikiwa kunasa saini ya kiungo machachari wa mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga SC, Feisal Salum baada kuvunja mkataba na mabingwa hao. Kwa mujibu wa Ibwe, kila kitu kipo sawa na mchezaji huyo ni wao kwa sasa huku wakisubiri muda […]

Read More