Fetty Wap Aachiwa Huru Baada ya Miaka 3 Gerezani

Fetty Wap Aachiwa Huru Baada ya Miaka 3 Gerezani

Rapa wa Marekani Fetty Wap ameachiwa huru baada ya kutumikia zaidi ya miaka mitatu gerezani, hatua ambayo imepokelewa kwa hisia mseto miongoni mwa mashabiki wake na wadau wa muziki duniani. Kwa mujibu wa majarida mbali mbali nchini Marekani, Fetty Wap, ameachiwa mapema leo kutoka gerezani alikokuwa akitumikia kifungo cha miaka sita kwa kosa la kuhusika […]

Read More