KAROLE KASITA AKANUSHA KUWA NA UJA UZITO WA FFEFE BUSI

KAROLE KASITA AKANUSHA KUWA NA UJA UZITO WA FFEFE BUSI

Siku kadhaa zilizopita video iliokuwa ikionesha uja uzito wa msanii Karole Kasita ilivuja na kusambaa mtandaoni. Walimwengu kwenye mitandao ya kijamii walianza kuhusisha uja uzito huo na rapa Ffefe Busi ambaye walimtaja kama mhusika mkuu kutokana na ukaribu wake na mrembo huyo. Sasa Karole Kasita ameibuka na kukanusha madai yao kwenye mahojiano yake mapya kwa […]

Read More