FID Q AFUNGUKA SABABU ZA KUTOSIKILIZA NYIMBO ZAKE
Msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka Tanzania, Fid Q amesema huwa hasikilizi nyimbo zake hasa pale anapokuwa anaandaa albamu ili kuepesha nyimbo kufanana. Katika mahojiano na XXL ya Clouds FM Fid Q amesema “Kiukweli sina ngoma yangu katika playlist yangu, kwa ufupi sijisikilizi kabisa, na sijisikilizi kwa sababu sasa hivi nipo chimbo naandaa albamu […]
Read More