FIFA yatangaza rekodi ya usajili

FIFA yatangaza rekodi ya usajili

Shirikisho la soka Duniani FIFA limetangaza kuwa dirisha dogo la usajili la mwezi januari 2025 limeweka rekodi ya matumizi makubwa ya pesa kwa ongezeko la asalimia 58 ukilinganisha na dirisha dogo la usajili lililopita la mwaka 2024. FIFA imeweka wazi kuwa katika shughuli zote za usajili zilizofanywa na vilabu Duniani kote kwenye dirisha Dogo lla […]

Read More
 FIFA yakataa ombi la Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky

FIFA yakataa ombi la Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky

Kuelekea fainali ya mchezo wa Kombe la Dunia Jumapili hii unaozikutanisha timu ya Taifa ya Argentina na Ufaransa, Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA) limekataa ombi la Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky kutaka kabla ya mchezo huo kuanza, ichezwe video yake uwanjani hapo ili kuhamasisha amani. Imeelezwa kwamba Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky aliomba jambo hilo […]

Read More