Fik Fameica Afunguka: Sitaki Mwanamke Aliyechubua Ngozi

Fik Fameica Afunguka: Sitaki Mwanamke Aliyechubua Ngozi

Rapa kutoka Uganda, Fik Fameica, amezua mjadala mitandaoni baada ya kufunguka kuhusu aina ya mwanamke anayependelea kuwa naye kwenye mahusiano ya kimapenzi. Msanii huyo, ambaye kwa sasa yuko single na hajawahi kutangaza hadharani uhusiano wowote, amesema ana matarajio ya kuwa na mpenzi mwenye sifa maalum. Akizungumza na wanahabari kuelekea maandalizi ya tamasha lake linalotarajiwa kufanyika […]

Read More
 Fik Fameica: Pallaso Ni Shabiki Tu, Si Mlezi Wangu Kimuziki

Fik Fameica: Pallaso Ni Shabiki Tu, Si Mlezi Wangu Kimuziki

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Fik Fameica amevunja ukimya na kukanusha vikali madai ya msanii mwenzake Pallaso, ambaye kwa muda mrefu amekuwa akidai kuwa alihusika pakubwa katika kukuza safari yake ya muziki. Hii ni baada ya Pallaso kudai kuwa alimtoa Fik Fameica kwenye mitaa ya Kawempe, na kumtambulisha kwenye muziki, na hata kumsaidia kifedha alipokuwa anaanza […]

Read More
 Album ya Fik Fameica, “King Kong” yakamata namba moja Apple Music

Album ya Fik Fameica, “King Kong” yakamata namba moja Apple Music

Rapa kutoka nchini Uganda Fik Fameica ameendelea kutikisa katika vichwa vya habari kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kwa album yake ya King Kong. Kwa mujibu wa takwimu album ya rapa huyo King Kong imevunja rekodi na kuwa ya kwanza katika mtandao wa kusikiliza muziki  wa “Apple” kwa upande wa afrika ikiipiku album ya Burna Boy, Love Denim. Fik Fameica ametumia ukurasa wake […]

Read More
 Fik Fameica aachia rasmi Tracklist ya Album yake mpya

Fik Fameica aachia rasmi Tracklist ya Album yake mpya

Nyota wa muziki wa Dancehall Kutoka nchini Uganda Fik Fameica ameachia rasmi orodha ya ngoma zinazopatikana kwenye Album yake mpya inayokwenda kwa jina la “King Kong” Fik Fameika amethibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuonesha tracklist hiyo yenye jumla ya mikwaju 14 ya moto. Album hiyo imewakutanisha mastaa kama Eddy Kenzo, Geosteady, Bruce […]

Read More
 FIK FAMEICA ADOKEZA UJIO WA TAMASHA LAKE LA MUZIKI

FIK FAMEICA ADOKEZA UJIO WA TAMASHA LAKE LA MUZIKI

Mwanamuziki kutoka Uganda Fik Fameica ameweka wazi tarehe ambayo tamasha lake la muziki litakalofanyika mwezi Agosti mwaka huu. Kupitia ukurasa wake wa twitter Fameica amesema tamasha lake liitwalo ” Fik Fameica live in concert” litafanyika Agosti 26 mwaka huu katika hoteli ya Africana jijini Kampala. Hitmaker huyo wa ngoma ya “Kanzunzu”  licha ya kutoweka wazi […]

Read More
 FIK FAMEICA ATOA CHANGAMOTO KWA WASANII WA AFRIKA MASHARIKI KUJA NA SOUND YA MUZIKI WAO

FIK FAMEICA ATOA CHANGAMOTO KWA WASANII WA AFRIKA MASHARIKI KUJA NA SOUND YA MUZIKI WAO

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Fik Fameica ametoa wito kwa wasaniii kutoka Uganda, Kenya na Tanzania kuungana kwa ajili ya kuja na sound itakayotambulisha muziki wa Afrika Mashariki kimataifa. Katika mahojiano yake hivi karibuni Fik Fameica amesema muziki wa Nigeria uitwao Afro-Beat umeufunika muziki wa Afrika mashariki kuweza kutambulika duniani kutokana ukanda huu kukosa jina linalowakilisha […]

Read More