FILLE MUTONI MBIONI KUACHIA EP YAKE MPYA
Mwanamuziki wa kike kutoka nchini Uganda Fille Mutoni ametangaza kuachia EP mpya ndani ya mwaka wa 2022 baada ya kimya cha muda mrefu. Fille amethibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa Twitter ambapo amewataka mashabiki zake kukaa mkao wa kula kuipokea EP yake mpya ambayo kwa mujibu wake itakuwa na jumla ya nyimbo 6 za moto. […]
Read More