FIREBOY DML KUTOKA NIGERIA KUTUMBUIZA KWENYE TUZO ZA BET

FIREBOY DML KUTOKA NIGERIA KUTUMBUIZA KWENYE TUZO ZA BET

Mwanamuziki nyota wa muziki kutoka Nigeria FireBoy ametajwa atatumbuiza kwenye hafla ya kugawa Tuzo za BET mwaka huu ambazo zitafanyika  Juni 26 katika ukumbi wa Microsoft Theater, Jijini Los Angeles. Tuzo hizo ambazo huandaliwa na Black Entertainment Television (BET) tangu Juni 19, mwaka 2001 zinalenga kusheherekea mafanikio ya kazi za Wamarekani Weusi katika sanaa ya […]

Read More