Flamengo Yashusha Kipigo Kizito kwa Chelsea Katika Michuano ya Dunia ya Klabu
Klabu ya Chelsea kutoka England imekubali kichapo cha mabao 3-1 dhidi ya Flamengo ya Brazil katika mchezo wa pili wa Kundi D kwenye michuano ya Kombe la Dunia la FIFA kwa Klabu, uliopigwa leo. Chelsea ilianza kwa kasi, lakini hali ilibadilika kabisa baada ya mshambuliaji wao, Nicholas Jackson, kuonyeshwa kadi nyekundu katika dakika ya 68 […]
Read More