Flaqo Awatahadharisha Vijana: “Acheni Kuabudu Mapenzi ya Mitandaoni”
Mchekeshaji maarufu nchini Kenya, Flaqo Raz, ameibua mjadala mitandaoni baada ya kutoa ujumbe mzito kwa mashabiki na hasa vijana kuhusu mapenzi yanayoonyeshwa mitandaoni. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Flaqo alitoa tahadhari dhidi ya kupumbazwa na picha na video za wapenzi maarufu ambazo zinaonekana kuwa za kufurahisha na za kuvutia. Katika ujumbe wake, Flaqo alisema wazi […]
Read More