Mchekeshaji Flaqo Ahoji Wimbi la Upasuaji wa Kuongeza Maumbile Miongoni mwa Mastaa
Mchekeshaji kutoka Kenya Flaqo ameibua mjadala mkubwa mitandaoni baada ya kutoa maoni yake kuhusu wimbi la wasanii na wanamitindo wanaofanyiwa au kutangaza kufanyiwa upasuaji wa kuongeza maumbo, maarufu kama BBL (Brazilian Butt Lift). Kupitia mitandao yake kijamii, ameeleza wazi mshangao wake kuhusu jinsi upasuaji wa BBL umeongezeka mno katika siku za hivi karibuni miongoni mwa […]
Read More