Mwimbaji wa Injili nchini Tanzania Flora Mbasha abadili jina la Usanii
Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini Tanzania aliyejulikana kwa jina ya Flora Mbasha ametangaza ujio wake mpya ambapo atakuwa chini ya menejimenti nyingine. Akizungamza na waandishi wa habari Jijini Mwanza Dada Flora Mayala amesema baada ya ukimya wa muda mrefu amerejea akiwa na nyimbo nzuri zenye kuijenga jamii kumjua Mungu ambapo pia amemtambulisha Meneja wake […]
Read More