RAYVANNY ATANGAZA TAREHE RASMI YA KUACHIA FLOWERS II EP

RAYVANNY ATANGAZA TAREHE RASMI YA KUACHIA FLOWERS II EP

CEO wa Next Level Music na Member wa WcB msanii Rayvanny ameachia Track list ya , EP  yake iitwayo Flowers II’. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Rayvanny ameshare artwork ya EP hiyo yenye Jumla ya Nyimbo 9 za moto ambapo amesema itaingia rasmi Sokoni Februari 10, mwaka wa 2022. Kwenye Followers II EP Rayvanny amewashirikisha […]

Read More