EP ya Diamond Platnumz “First Of All” yashinda tuzo Marekani
EP ya Diamond Platnumz “First Of All” ama FOA imeshinda tuzo ya album bora ya mwaka 2022 kwenye tuzo za African Entertainment Awards USA (AEAUSA) zilizotolewa usiku wa kuamkia leo huko Marekani. Kwenye tuzo hizo za 8, FOA ilikuwa imeingia kwenye kipengele cha album bora ya mwaka ambapo ilikuwa ikichuana na album nyingine kama “Rave & Roses” ya […]
Read More